Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 18: Biashara > Diagnostic Test

Unit 18: Mtihani huu una sehemu tatu:

I. msamiati uliotumika katika mlango huu.
II. matumizi ya maneno katika sentensi.
III. insha juu ya mada kuu ya mlango huu
I. Msamiati. Fananisha neno katika kundi la A na neno katika kundi la B linalokwenda pamoja katika matumizi. Maneno yote yametumiwa katika somo la kwanza mpaka la sita katika mlango wa 18.

A
B
1.Madoriani
a. kubebea watoto
2.Choroko.
b. duka
3.Kisamvu
c. matunda
4.Katani
d. miche
5.Kanga
e. kutengenza vitenge
6.Viwanda
f. nafaka
7. Mfanyibiashara
g. mkonge
8. Vitalu
h. mboga


 

II. Sentensi. Chagua maneno matano (5) kutoka A. Tumia kila neno katika sentensi yako menyewe ambayo itaonyesha maana kamili.

 
1.
2.
3.
4.
5.
III. Insha. Andika insha ya ukurasa mmoja juu ya biashara. Unaweza kuandika muhtasari wa biashara katika Tanzania halafu ukafananisha na shughuli za biashara katika sehemu unayotoka.Instructor's Email:
Your Name:
Your email:

 

© African Studies Institute, University of Georgia.