Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 18: Biashara> Exercise 1:

Exercise 1: Zoezi la kwanza

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Masoko ya Afrika hufanana vipi?

2. Huko Zanzibar, nani huenda sokoni?

3. Matunda gani yanapatikana sokoni Zanzibar?

4. Mboga gani zinapatikana sokoni Zanzibar?

5. Nafaka gani zinapatikana sokoni Zanzibar?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.