Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 18: Biashara> Exercise 2:

Exercise 2: Zoezi la pili

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Mwuzaji Omari Hasani ni mwenyeji wa wapi?

2. Omari Hasani anapata wapi matunda yake wapi?

3. Omari Hasani anauza matunda gani?

4. Omari Hasani anauza matunda kwa muda gani?
5. Je, Omari Hasani anatumia mashine kuchagua matunda?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.