Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 18:Biashara> Exercise 3:

Exercise 3: Zoezi la tatu

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Kahawa ni zao la sehemu gani ya Tanzania?

2. Mbegu za kahawa huoteshwa wapi?

3. Matunda ya kahawa yanaanza kuota baada ya muda gani?

4. Kwanini matunda ya kahawa yanasagwa katika mashine?

5. Mbegu zinafanywa nini kabla ya kuuzwa?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.