Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 18: Biashara> Exercise 4:

Exercise 4: Zoezi la nne.

Sikiliza video kwanze. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Katani ni nini?

2. Katani hutumiwa kutengeneza nini?

3. Mkonga uliokomaa unafanywa nini?

4. Mkonga unafanywa nini ili kupata katani?
5. Katani huuzwa wapi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.