Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 18: Biashara> Exercise 5:

Exercise 5: Zoezi la tano

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Katika kikundi cha akina mama kuna watu wangapi?

2. Kila mtu anatoa mtaji wa kiasi gani sasa?

3. Akina mama wa mjini wanashirikiana na nani?

4. Akina mama wanapata vikapu wapi?

5. Akina mama wanatengeneza nguo gani?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.