Home
Overview
Technical Help

Select Unit > Unit 18: Biashara> Exercise 6:

Exercise 6: Zoezi la sita

Sikiliza video kwanza. Halafu jibu maswali haya. Ukimaliza bonyeza ‘peleka’ ili upate ukurasa wa jawabu.

1. Baadhi ya vitambaa hupatikana wapi?

2. Kwa kawaida akina baba huvaa kanga wakati gani?

3. Akina mama hutumia kanga vipi?

4. Vitenge hutumiwa vipi?

5. Kanga na vitenge hutengenezwa wapi?

 

© African Studies Institute, University of Georgia.